Unadhani watakueleza ukweli kuwa wamefirisika!!???
Ndoto za wafanyabiashara wote duniani ni kukua na kutanua huduma/biashara zao, ukiona mfanyabiashara anapunguza matawi ujue kuna mkwamo. Sitaisahau Efatha Bank.
Benki ya FNB imetangaza kuyafunga matawi yake yaliyopo Quality Center (Juni 15, 2019) na Kariakoo (Agosti 15, 2019). Huduma zote zitahamishiwa katika tawi kuu lililopo Mtaa wa Ohio (FNB House). View attachment 1107816
Labda kama una deni lao ndio endelea kuwalipa kwani ukichelewa saa moja tu utawaona madalali hapo mlangoni kwako wakianza kuinadi hiyo dhamana yako. Kinyume chake, funga akaunti haraka na pesa zako nileteemtufungue benki yetu