Benjamin Mkapa Foundation

Ni wababaishaji hao. Ni kijiwe cha watu. Wana mipango mizuri kwa maandishi na maneno. Ukitupwa remote area wanakusahau. Wanajiona kama wanamiliki watu badala ya kuwaajiri
 
:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:
 
Boss wao yulr mama anaonekana smart and hardworking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…