Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,989
- 1,179
Kwa uzoefu wako, uchawi unatakiwa uishie wapi?... Uchawi hadi mpirani
Kwa uzoefu wako, uchawi unatakiwa uishie wapi?
Hakuna ushirikina mkubwa kama mchezo wa mpira sasa nikwambie..Mpira just mchezo tu sasa mtu anaroga hadi kwenye mpira? Watu wamepinda kweli
Uwaambie vijana wao wanaona watu wanacheza pale wanahisi kitu simple tuu....Hawa jamaa ushirikina wao sio mzuri... Una maagano kwakuwa wanatumia sana wanyama na wanyama wana roho na wana damu.... Na kuna wakati pia huwatumia wanadamu hivyo ukienda kule kama ni mgeni makinika sana unaweza usirudi
Kwenye soka na siasa kuna mambo ya ajabu sanaUwaambie vijana wao wanaona watu wanacheza pale wanahisi kitu simple tuu....
Kwenye mpira kuna maagano makubwa sanaa...
Mimi kuna classmate wangu anacheza ligi kuu wakati shule alikua mtu wa kukaa benchi tuu ila saivi eheeeee
Dadavua kidogo mkuu...Kwenye soka na siasa kuna mambo ya ajabu sana
Vingine wala havina nguvu kivile bali mtumiaji hujipa confidence na kufanya makubwa kumbe nguvu iko ndani yakeDadavua kidogo mkuu...
Kwenye michezo aisee
Kwa mfano inawezekana mtu ana kiwango cha chini kabisa
Akipiga ndumba anakuwa na high level za kucheza premier
Hahaaaaa.....Vingine wala havina nguvu kivile bali mtumiaji hujipa confidence na kufanya makubwa kumbe nguvu iko ndani yake
Hakuna kitu chenye nguvu kama imani... Unajikuta unapewa madawa yasiyo na lolote lakini once ukiyatumia na kuamini basi unaweza kupata matokeo ya ajabuHahaaaaa.....
Kivipi mkuu
Teh ...Benin hii... Aende au arudi? Mwili u radhi roho inasitaView attachment 1150738
Mpaka sasa nimeshaanza kuamini Benin uchawi mwingi sio kwa kosakosa hzi za senegal.
Make the corpse walk.voodoo, umenikumbusha novel ya james hadley chase