Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Waanze kufanya show za international kama Diamond Platnumz.
Tatizo wasanii wa bongo hawaigi mazuri ya diamond, wanachofanya ni kumdiss tu kila siku.
hupati show za kimataifa kwa kuwa unataka kufanya show za kimataifa, na huwezi ukakurupuka eti unaanza kufanya show za kimataifa kwa kuwa hakuna show nyumbaniWaanze kufanya show za international kama Diamond Platnumz.
Tatizo wasanii wa bongo hawaigi mazuri ya diamond, wanachofanya ni kumdiss tu kila siku.
ben pol alikuwa anaimba nyimbo za CCM?Tena hao hao ndo walikuw wanapga kampen wakiw na sisiem sahv wanalia nn sasa..........
Unafiki acha wakomae maan ndo walikuw wnashawish wananch........................
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
ben pol alikuwa anaimba nyimbo za CCM?
hata kama alikuwa anaimba, it was business, yeye ni msanii, akihitajika, hachagui wateja
Mbona nyimbo ya snura mliifungia kama sanaa ni kujipatia kipato bila kujari wapi na nani unamfanyia?ben pol alikuwa anaimba nyimbo za CCM?
hata kama alikuwa anaimba, it was business, yeye ni msanii, akihitajika, hachagui wateja
mimi nani sasa, mimi niliifungia? upo nje ya pointMbona nyimbo ya snura mliifungia kama sanaa ni kujipatia kipato bila kujari wapi na nani unamfanyia?
Msiupotoshe umma kuwa eti unaweza kuwa support majambazi na magaidi kwa kuwaimbia nyimbo nzuri na kuwashawisho watu kisa wewe msanii upate kipato. Vipi kuhusu maisha ya wengine?
Kitendo cha kuimba tu tayari aliisapoti CCM. sasa aendelee pia kufanya business kwa kuimba ule wimbo wa komba unaoanza hiviben pol alikuwa anaimba nyimbo za CCM?
hata kama alikuwa anaimba, it was business, yeye ni msanii, akihitajika, hachagui wateja