Ben paul kaongea ukweli ila sasa mashabiki mandazi wa Kiba wasiopenda kuona anafanikiwa na wanaomjaza ujinga kujiona star wakati hamfikii hata Hamonize wametoa matusi kwa Ben paul balaa
Ifike hatua mashabik wa Kiba mmkubali ushaur bora wa kumfanya Kiba afanikiwe
Alikiba anajua mziki tena sana ila anaharibiwa na sifa za kijinga kutoka kwa mashabiki zake wasiojielewa
tifa
Bwaaana bwaaana... Nimependa hiyo sentensi "AMEMTUMBUA JIPU"
Labda watu wame-hack account ya BenPol
halafu wewe mpagani wewe utabakwa upige kelele " we jikechetue ntakugeuza princess
Jibu la Kiba limekaa poa..
Kiufupi naungana na B the king hapo na tatizo limeanza tokea kurudi kwake kwa mbwembwe za beef na Diamond wakati mwenzake ni mtu mwingine kabisa....
Pia kwa anachofanya kiba pia ni chini ya uwezo wake ninaweza kufananisha na hali waliyonayo chelsea, japo kwa kiba asilimia 100 anajitakia...
sasa Ben pol mbona unatafuta kick kitoto sana hivi?
wewe unafikiri sisi mashabiki wa kiba tuna matazamo gani?Team kiba atayempinga ben pol hana mapenzi ya dhati na kiba..
Jamaa kaongea ukweli mtupu. Kiba kuna baadhi ya vitu anashindwa kuvifanya kwasababu tu ya mtazamo walionao mashabiki zake. Mashabiki wabaya sana wakati mwingine...
wewe unafikiri sisi mashabiki wa kiba tuna matazamo gani?
labda naweza nikabadilika
Haya ndio maoni ya BenPol kuhusu Kiba kwa mujibu wa TL yake.
Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda sawa. Hapo ndio tatizo linaanzia.
hata nyie mna huo mtazamo sababu kiba akitoa kazi yoyote tu mtaanza majungu tu. sasa kama hapo mwisho umesema kiba hayupo kwenye B wala C unamaanisha niniMtazamo wa kiushindani.. Kila anachofanya Diamond kiba afanye zaidi yake, na mafanikio ya Diamond kiba afanikiwe zaidi yake, wakisahau kuwa Diamond ni level nyingine kabisa, Africa's A list artist, wakati Alikiba hayupo B, wala C.. Hicho ndio alichokizungumzia Ben pol hapo
sasa Ben pol mbona unatafuta kick kitoto sana hivi?