Benteke acha niongee, benteke ntafanya hivi, mara vile, ntachukua hichi ntapeleka kule, nimeongea si chini ya nusu saa. Jasho linanitoka, sauti imekauka najaribu kulainisha koo kwa kumeza mate kila sekunde. benteke naona zali hili, nilikua nasikia tu kwa wengine leo nyota imewaka. Najaribu kumalizia maelezo yangu kwa tabasamu la kujihendsamisha ,lakini naona kabisa naharibu maana midomo imekauka na macho yameingia ndani kwa kiu na shock ya swali lenyewe. Dada anaiangalia akitabasamu, "very good benteke" maana kwenye mtiririko wako hujaweka gari zuri, nyumba na mke. At last research yangu imepata mawazo tofauti. Nenda kaendelee na kazi. Huyu ni binti mkubwa wa boss wangu ndio amenifanyia hivyo. Hapa kichwa kinaniuma ngoja nikatafuta panadol maana nimetumia nguvu nyingi sana kujieleza.
yani sijakuelewa kabisa, hivi kwanini usibaki huko huko FB? yani mnaambiana huko halafu mnakuja kuleta ugoro huku, yani nakereka.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:😛hoto:
Chukueni tahadhari dhidi ya homa ya dengu...papai ni kinga na dawa..tumia mbegu zake ama majani ya mpapai...tuokoe maisha ya ndugu,marafiki na maadui pia dhidi ya dengu..
Niliongea na daktari mmoja juzi kaniambia majani ya mpapai yanaweza kupandisha au kushusha sukari ya mgonjwa.
The Boss kakahabari. Mbona sioni tatizo lolote, unafikiri hata ukijua age yangu itakusaidiakunielewa? wakati mwingine ni vigumu kumuelewa mtu humu ndani kwasababu asilimia kubwa ya watu wamevaa character tofauti na zaoand that's what make JF special and never boring kama unavyosemaga. Kunapost unaweza kuiona ya kipuuzi lakini ikawa ni msaada mkubwa kwa mwingine interms of stress release na kuna post kwako wewe ukaiona ya maana sana na ikawaheadache kwa mwingine. JF has different forums to cater different minds andcharacter.Mimi nafikiri niko sawa as long as sitamu offend mtu yeyote.Sio kwamba ninakukejeli but nikijua umri wako itasaidia kukuelewa...kuna mazungumzo ni very cute kwa age fulani na ni very sad kwa age fulani
The Boss kakahabari. Mbona sioni tatizo lolote, unafikiri hata ukijua age yangu itakusaidiakunielewa? wakati mwingine ni vigumu kumuelewa mtu humu ndani kwasababu asilimia kubwa ya watu wamevaa character tofauti na zaoand that's what make JF special and never boring kama unavyosemaga. Kunapost unaweza kuiona ya kipuuzi lakini ikawa ni msaada mkubwa kwa mwingine interms of stress release na kuna post kwako wewe ukaiona ya maana sana na ikawaheadache kwa mwingine. JF has different forums to cater different minds andcharacter.Mimi nafikiri niko sawa as long as sitamu offend mtu yeyote.
Nimekuelewa...umenikumbusha Simplicity Sijui yupo wapi