Huyu jamaa si tu kwamba ni genius lakini ana hofu ya MUNGU ndani yake.
Ketendo cha kutambua haki za "watenda" maovu, menisikitisha sana, alikuwa role model wangu... kwani ni kupitia vitabu vyake viwili vya Gifted Hand na THINK BIG...niliweza kubadilika kuwa TUJITEGEMEE wa sasa. Ila toka mwaka 2013 alipotamka maneno ya 'uovu' simpe tena umuhimu tena kama role model wangu.

Hapo hapo,"....Anavyosema wana haki kama watu wengine, "They don't get to redefine marriage." inaelewekaje?" Hii peke yake inaonyesha kuwa wanayo haki ya kufanya wanachokifanya....ilimradi tu wasirasimishe hicho wanachokifanya kiasi cha kubadilisha katiba, sheria ama hata taratibu za kidini. Nilitegemea lugha kali ya kiimani itolewayo na watu wenye kuheshimu maagizo ya Mungu, kukemea kile wanachokifanya hao-watibuaji (ukizingatia yeye-Ben ni msabato)....badala ya kutoa lugha laini (wana haki kama watu wengine) ....hii ni kutambua uwepo wao kuwa ni halali machoni mwa wanadamu na mbele za Mungu. Na hili halikubaliki. Na siwezi kukubaliana na Ben."Of course gay people should have the same rights as everyone else, but they don't get extra rights," Carson said. "They don't get to redefine marriage." ...................."I still believe that marriage is between a man and a woman." Dr CarsonI am just curious mkuu TUJITEGEMEE katika hali ya kutaka kuelewa zaidi.... Anavyosema wana haki kama watu wengine inaelewekaje? na ni haki gani ambayo wengine wazipata wao hawakupaswa kuzipata? Kwa maana kama ni issue ya ndoa ameshachora clear cut kwamba ni kati ya mwanaume na mwanamke.. vinginevyo sio ndoa kwa kuwa hatafuti usahihi wa kisisasa kama akina obama na clinton?
We jamaa nina wasi wasi na uelewa wako! Gay wana haki ya kula, kusoma, kuvaa kama wewe lakini marriage daima haifai kuwa ya jinsia moja! Hiki ndo alimaanisha Carson! Nampenda sana Carson
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mkuu nahisi hujamuelewa vyema but he is against same sex marriage!
Hapo hapo,"....Anavyosema wana haki kama watu wengine, "They don't get to redefine marriage." inaelewekaje?" Hii peke yake inaonyesha kuwa wanayo haki ya kufanya wanachokifanya....ilimradi tu wasirasimishe hicho wanachokifanya kiasi cha kubadilisha katiba, sheria ama hata taratibu za kidini. Nilitegemea lugha kali ya kiimani itolewayo na watu wenye kuheshimu maagizo ya Mungu, kukemea kile wanachokifanya hao-watibuaji (ukizingatia yeye-Ben ni msabato)....badala ya kutoa lugha laini (wana haki kama watu wengine) ....hii ni kutambua uwepo wao kuwa ni halali machoni mwa wanadamu na mbele za Mungu. Na hili halikubaliki. Na siwezi kukubaliana na Ben.