N Ng'wanamigihaJr New Member Joined Jul 30, 2015 Posts 2 Reaction score 2 Dec 21, 2016 #1 Suala la msingi tujali uhai wa mtu hata kama hatupendi hoja zake hata kama ni wa chama kingine NA dini nyingine
Suala la msingi tujali uhai wa mtu hata kama hatupendi hoja zake hata kama ni wa chama kingine NA dini nyingine
kemi2011 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 735 Reaction score 290 Dec 21, 2016 #2 Mungu mpiganie huyu kijana popote alipo Yeyote aliyehusika na kumpoteza, kumharibia ndoto zake au mpango wowote wa aina hiyo, basi laana na iwe juu yake na watoto wake vizazi saba....
Mungu mpiganie huyu kijana popote alipo Yeyote aliyehusika na kumpoteza, kumharibia ndoto zake au mpango wowote wa aina hiyo, basi laana na iwe juu yake na watoto wake vizazi saba....
Ngonidema JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 2,775 Reaction score 2,750 Dec 21, 2016 #3 #TunamtakaBenAkiwaHai#
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,298 Reaction score 47,337 Dec 21, 2016 #4 Imenifanya nichukie PhD sana