Zinapigwa nyimbo gani na mimi sikilizeHabari za usiku mteke wapendwa....
Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga....
Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi kwamba najiona kabisa natoka nje ya vile nnavyo jifahamu....
Yaani kama niko eneo la wazi sioni aibu kumbusu mpenzi wangu, kumkumbatia, kucheka kwa sauti ya mahaba......
I can dance, sing for him and smile endlessly.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Yaani am overwhelmed.....
Ooh lugha ishahama, hapa najua mida imeenda, kesho ibadani ila niko kilingeni naichakaza dancing floor....
View attachment 1707761
The loved one....[emoji8]
View attachment 1707762
Hyper Kasie.... dancing old school songs ...[emoji6] all night long....[emoji3059][emoji3059][emoji7]
#beinginlove wuuuuuuuuuuhhhhh....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nimesema raha ya kupenda upendwe, sijasema ulazimishe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama anayempenda hampendi atamlazimisha
Ukitaka compatible partner fuatisha nyota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], yani nyota yako ni lazima iendane na nyingineNi bahati sana kupata mtu anayekupenda na kuwa na chemistry zinazoendana, mapenzi yana raha yake. Anyways wengine tuendelee kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka bila kusahau kuvaa barakoa kujitenga na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.
Somo la kuelewa nyota nafeli daily.Ukitaka compatible partner fuatisha nyota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], yani nyota yako ni lazima iendane na nyingine
Kasie! Kasie!! Kasie!!! Nimekuita mara ^tar-two^ Hizi raha zingine siyo kabisa ujue. You know what I am talking about.
Kasie! Kasie!! Kasie!!! Nimekuita mara ^tar-two^ Hizi raha zingine siyo kabisa ujue. You know what I am talking about.
Aaabeeeeh aaaabeeeeeeeehhh. aaabeeeeeehhhhh..........
Nami nimeitikia mara tatuπ³βπ―π―π―π³π³π³ππ€πππππππ
Aahahahahhahahaaaa
Aaabeeeeehhh
Aaabeeeehhhh
Aaaabeeeeeeeeeeeeehhhhhh
Nami nimeitika mara tatu π
Uzuri wake unaujua udhaifu wangu mkubwa, na ukinifika kujizua siwezi kabithaaaaaa......
Najikuta najiachia tuuuu raaaahaaaaaaaaaaa π
Imebidi nijiloweke asubuhi ya leo maana hyper ya jana ilikuwa zaidi ya ganja....π
Umeamkaje..!!?
Zinapigwa nyimbo gani na mimi sikilize
Ni bahati sana kupata mtu anayekupenda na kuwa na chemistry zinazoendana, mapenzi yana raha yake. Anyways wengine tuendelee kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka bila kusahau kuvaa barakoa kujitenga na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.
Kivipi sasa? Nibariki mzigo huoUshafeli.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Santeee naona ulizama kwenye dimbwi la mahaba, life is too short for depression kula bata iwezekanavyo, mpende akupendae asiekupenda achana naeDuuh pole nilikuacha solemba...
Nilikamatiwa ikabidi kifaa nikitupie kwenye pochi niendeleze kuuishi wakati...
Kama ntakuwa sijachelewa, zilipigwa nyingi tuu aina tofauti tofauti such as...
Boogie Woogie wuuuhuuuuu [emoji3059]
Just few to mention, but those were sort of...