Being a prostitute at 45!

Asee
 
Elekeza njia na kama ukishindwa waombee!
 
Hao ndo hatari zaidi
Umri huo wakifika wanakuwa 'recruitment agents'

Unaona watoto under 15 wanajiuza ujue ma agents ndo hao above 35..na huwezi kuwabadili..washakuwa wazoefu na industry
Nakuunga mkono.
Malaya wazee ni sawa na wezi wazee wanaofadhili wezi vijana.

Maana kila kundi lenye tabia fulani katika jamii huzeeka umri ukifika.

Je watu hurekebishwa tabia zao kwa nguvu ya umri?

Wazee huonekana wapole na watulivu, si kwa sababu ya nidhamu zao, bali ni kwa kuwa nguvu zishawaisha hawana namna, lakini ndani ya nafsi zao wanakuwa wamebeba tabia zile zile zilozowafikisha kwenye umri huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…