Tunaruhusiwa kuchangia kwa kinyerere?
Ok... kwamba umalaya kwa mwanamke mwenye miaka 45?Unaruhusiwa mkuu, tuna butua butua hivyo hivyo..lol wanasema ndio kujifunza... 😂 🥰
Ok... kwamba umalaya kwa mwanamke mwenye miaka 45?
Uzuri mimi ni mwanaume na hakuna mwanaume malaya....
Hata malaya... mwanaume mwenye mahusiano na mwanamke zaidi ya mmoja haitwi malaya. Anaitwa kitombi, kidume, kifaa, mgegedaji, baharia na mengine mengi ya kusifia ushujaa wa kuwapanga wamama.Tafsiri ya malaya ni kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Ukahaba ni kufanya hivyo kwa kujipatia kipato. Mzee nafikiri ulitaka kusema hakuna mwanaume kahaba.
Pole sana dada kwa soko lako kushuka, kula mafao kama ulitunza ulivyojiuza ungali binti... hakika inauma sana ila kubaliana na uhalisia.
Umri sio miaka, wakati si milele... kila zama na kitabu chake.
Nimetumia uhuru wa kusema chochote! [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Wewe ndo hujui.Hello JF,
Asubuhi hii nimejikuta nawaza hili kundi la wanaojiuza miili yao
Much emphasize has been put on young people/girls NOT to get involved or engage in Prostitution,
But,
Little have been done to get 'women' who are already prostitutes out of prostitution...
As such,
Prostitution for some becomes a career just like any other!...
Anyway leo nimewaza maisha ya older'working' woman...
At 45,
You are approaching or already have menopause....
At 45 you are not attractive as you used to be,
Prostitution career life cycle depends on age...
The more you get older , you get less customers....
Looking back on the past you feel used and guilty.......
Sad, very sad!
Ongea chochote..LOL
Wa 45 wanapata wateja wa age yao, waliokeep figure wanapata faida zaidi maana wanakua wanavutia mteja fastaa.
Ila kwa mtazamo wangu mwanamke wa hyo age bora afanye prostitution as a part time job, asiitegemee kiviile maana umri unazidi kusonga soko nalo linamtupa mkono.
Imagine Tulia awe malaya na sura lake lile kama muonekano wa gari aina ya Fiat mkasi chini, umalaya haujalishi umri gani, muonekano tuHello JF,
Asubuhi hii nimejikuta nawaza hili kundi la wanaojiuza miili yao
Much emphasize has been put on young people/girls NOT to get involved or engage in Prostitution,
But,
Little have been done to get 'women' who are already prostitutes out of prostitution...
As such,
Prostitution for some becomes a career just like any other!...
Anyway leo nimewaza maisha ya older'working' woman...
At 45,
You are approaching or already have menopause....
At 45 you are not attractive as you used to be,
Prostitution career life cycle depends on age...
The more you get older , you get less customers....
Looking back on the past you feel used and guilty.......
Sad, very sad!
Ongea chochote..LOL
Hao ndo hatari zaidi
Umri huo wakifika wanakuwa 'recruitment agents'
Unaona watoto under 15 wanajiuza ujue ma agents ndo hao above 35..na huwezi kuwabadili..washakuwa wazoefu na industry
Na skuhizi wanataka plate no D.Lenie unakosea wanaume hawatakagi wanawake wenye umri sawa na wao, especially kwenye kujiuza mtu anataka kitu kibichiii..ndio zao hao...lol