za siku mingi wakuu wa jukwaa hili, nadhan mlikua mnajiuliza huyu binti, mwanadada, mke wa ukwee wa judgement yupo wapi? Ila labda hamkueza hata kuandika thread lakin hilo si kituuu ,kweli nilipotea ila sio ya kutekwa laahasha ila nilikuwa na majukumu kidogo ya kifamilia mana nadhan mlisikia mume wangu alipata ajali so kuuguza ilikua ngumu though alikua mbishi.na sasa nawageukia wale wanaotoleaga macho waume za watu haya mwenye mali nimerudi so kaen pembeen kabisaaa.ila nimewamic siez taja majina yote but naomba niwataje wachache, Dada Madame B, Mkiva, babu Aspirin, shem Erick B52,ArushaOne,Charming Lady,,Baba V, excellent,my wii Catherine, Rutashobolwa,, c6, na wengineeee wengi.
Naihitaj kujuzwa kulikua nanin wakt sipo.
From judgement's wife beibe nasty