Bei za viwaja Simanjiro

Bei za viwaja Simanjiro

fridahrahma

New Member
Joined
May 15, 2010
Posts
3
Reaction score
0
habari zenu, naomba kama kuna mtu anajua bei za viwanja orkesmet mjini kwa sasa anijuze. kiwanja kipo mtaa wa bomani karibu na kituo cha polisi. ukubwa ni 1200 square meter (kama miguu 40 kwa 40). kina hati na hakina migogogro. napenda kuwa na idea ya bei nisje ingizwa mkenge. ni eneo stendi inataka kujengwa. asanteni. nu yangu ni 0686380234 in case nimekishindwa uchukue
 
Back
Top Bottom