tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Nipo Dodoma aisee....nahitaji sana kisima cha maji!!!ila swali langu je mita moja yatosha kupata majiHizi ndio bei za uchimbaji kisima kutoka Tawa Water Proffesional
1: Shillingi elfu sitini kwa mita (60000 tsh) moja...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeneo yasiyokuwa na miamba migumu.
2: shillingi laki na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeno yote yenye miamba migumu.
3: Shillingi laki moja kwa mita moja... (100000 tsh)... Hiyo ni bei kwa maeneo yaliyopo mikoani na ambayo hayana miamba migumu. Hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu.
4: shillingi laki moja na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)... Hiyo bei ni kwa maeneo ya mikoani pia ambayo yana miamba migumu na hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu
5: shillingi elfu arobaini (40000 tsh) kwa mita moja...kwa bei hiyo tunakuchimbia tu shimo la kisima ila vitu vingine vyoote muhimu kama bomba,pampu pamoja na vitu vingine utagharamikia wewe mwenyewe. Bei hiyo ni kwa wateja waliopo Dar es salaam.
6: shillingi elfu themanini (80000 tsh) kwa mita moja...hii bei ni kwa wateja waliopo mikoani nje ya Dar es salaam na kwa bei hiyo tutakuchimbia tu na vitu vingine muhimu utanunua mteja mwenyewe.
7: bei ya Utafiti wa maji ( ground water survey ) bei ya ground water survey ni shillingi 350000 laki tatu na nusu na unapigiwa Ves 2 na hii bei ni kwa wateja waliopo Dar es salaam na bei za wateja waliopo mikoani bei zinatofautiana kuanzia shillingi Laki tano ( 500000 tsh)
Karibuni saana tufanye kazi pamoja...Gharama si chochote ila ubora ndio kila kitu karibuni saana.
Mawasiliano 0655541948/0628080096
HaitoshiNipo Dodoma aisee....nahitaji sana kisima cha maji!!!ila swali langu je mita moja yatosha kupata maji
Dar mita ngapi maji yapatikana na siku ngapi naanza pata maji?Hizi ndio bei za uchimbaji kisima kutoka Tawa Water Proffesional
1: Shillingi elfu sitini kwa mita (60000 tsh) moja...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeneo yasiyokuwa na miamba migumu.
2: shillingi laki na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeno yote yenye miamba migumu.
3: Shillingi laki moja kwa mita moja... (100000 tsh)... Hiyo ni bei kwa maeneo yaliyopo mikoani na ambayo hayana miamba migumu. Hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu.
4: shillingi laki moja na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)... Hiyo bei ni kwa maeneo ya mikoani pia ambayo yana miamba migumu na hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu
5: shillingi elfu arobaini (40000 tsh) kwa mita moja...kwa bei hiyo tunakuchimbia tu shimo la kisima ila vitu vingine vyoote muhimu kama bomba,pampu pamoja na vitu vingine utagharamikia wewe mwenyewe. Bei hiyo ni kwa wateja waliopo Dar es salaam.
6: shillingi elfu themanini (80000 tsh) kwa mita moja...hii bei ni kwa wateja waliopo mikoani nje ya Dar es salaam na kwa bei hiyo tutakuchimbia tu na vitu vingine muhimu utanunua mteja mwenyewe.
7: bei ya Utafiti wa maji ( ground water survey ) bei ya ground water survey ni shillingi 350000 laki tatu na nusu na unapigiwa Ves 2 na hii bei ni kwa wateja waliopo Dar es salaam na bei za wateja waliopo mikoani bei zinatofautiana kuanzia shillingi Laki tano ( 500000 tsh)
Karibuni saana tufanye kazi pamoja...Gharama si chochote ila ubora ndio kila kitu karibuni saana.
Mawasiliano 0655541948/0628080096
Ninahitaji bei gani kwa kazi yote hadi kupata maji kwa dar?Hizi ndio bei za uchimbaji kisima kutoka Tawa Water Proffesional

Dar upo sehemu gani?Dar mita ngapi maji yapatikana na siku ngapi naanza pata maji?
Mimi nahitajika kisima maeneo ya Tegeta A Goba. Ebu niambie wastani wa kina kuweza kupata maji salama. Nahitaji sana huduma hii. Uwe serious tufanye biashara wiki hii.Hizi ndio bei za uchimbaji kisima kutoka Tawa Water Proffesional
1: Shillingi elfu sitini kwa mita (60000 tsh) moja...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeneo yasiyokuwa na miamba migumu.
2: shillingi laki na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeno yote yenye miamba migumu.
3: Shillingi laki moja kwa mita moja... (100000 tsh)... Hiyo ni bei kwa maeneo yaliyopo mikoani na ambayo hayana miamba migumu. Hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu.
4: shillingi laki moja na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)... Hiyo bei ni kwa maeneo ya mikoani pia ambayo yana miamba migumu na hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu
5: shillingi elfu arobaini (40000 tsh) kwa mita moja...kwa bei hiyo tunakuchimbia tu shimo la kisima ila vitu vingine vyoote muhimu kama bomba,pampu pamoja na vitu vingine utagharamikia wewe mwenyewe. Bei hiyo ni kwa wateja waliopo Dar es salaam.
6: shillingi elfu themanini (80000 tsh) kwa mita moja...hii bei ni kwa wateja waliopo mikoani nje ya Dar es salaam na kwa bei hiyo tutakuchimbia tu na vitu vingine muhimu utanunua mteja mwenyewe.
7: bei ya Utafiti wa maji ( ground water survey ) bei ya ground water survey ni shillingi 350000 laki tatu na nusu na unapigiwa Ves 2 na hii bei ni kwa wateja waliopo Dar es salaam na bei za wateja waliopo mikoani bei zinatofautiana kuanzia shillingi Laki tano ( 500000 tsh)
Karibuni saana tufanye kazi pamoja...Gharama si chochote ila ubora ndio kila kitu karibuni saana.
Mawasiliano 0655541948/0628080096
Mimi nahitajika kisima maeneo ya Tegeta A Goba. Ebu niambie wastani wa kina kuweza kupata maji salama. Nahitaji sana huduma hii. Uwe serious tufanye biashara wiki hii.
Kama ni makanjanja business usiingie anga zangu utapotea. Nakutahadharisha tu.
Asante
Nipo Mabibo nit! Nahitaji hii huduma ila kazi yote ni kwa mkataba sio kienyeji!Dar upo sehemu gani?
Kazi zote tuzifanyazo huwa zipo under contract mkuu wala usijari kikubwa nipigiye nije niione siteNipo Mabibo nit! Nahitaji hii huduma ila kazi yote ni kwa mkataba sio kienyeji!
Ni ndani ya siku tatu au nneDar mita ngapi maji yapatikana na siku ngapi naanza pata maji?
Bei ni 60000 kwa mita mkuuBunju bei gani...jamaa yangu ananisumbua sana jirani na efatha ministry.
Kwa maeneo yaTegeta maji yanaweza kupatikana kuanzia mita mia na kumi na kuendelea...ukihitaji kufanya kazi na mimi karibu ila mikwara acha mkuuMimi nahitajika kisima maeneo ya Tegeta A Goba. Ebu niambie wastani wa kina kuweza kupata maji salama. Nahitaji sana huduma hii. Uwe serious tufanye biashara wiki hii.
Kama ni makanjanja business usiingie anga zangu utapotea. Nakutahadharisha tu.
Asante
Ni uchimbaji tu... Ila pia kuna baadhi ya maeneo maji ya chumvi hayaepukiki ila kikubwa inatakiwa ifanyike research hao wanao pata maji ya chumvi wamechimba mita ngapi ili wewe ukija kuchimba uchimbe tofauti kidogo na wao ili kuepukana na huo ukanda wa maji chumviAsee! Inakuwaje visima vingine maji huwa ya chumvi? Ni namna ya uchimbaji au hutegemea eneo husika? Mfano mm naishi chamaz dar, naweza pata kisima maji yasiwe na chumvi. Maelezo pls.