Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.
Asanten kwa ushauri