Mungu alitupa akili tofauti kabisa kwakweli, eti mimi nipo mboka Taborajazz hapa lakini sijafikiria wazo kama hilo. Vipi nikikupa mawasiliano ya jamaa yupo Tabora vijijini (Ndala) yeye ananunua mahindi na mpunga kisha anasaga na kukoboa ndipo anaingiza sokoni.