Bei za bidhaa

Tatizo linaanza HANGAYA unaweza kuta anapikiwa vitu kwa OLIVE PURE COOKING OIL toka yerusalemu kwa jasho letu. Izo korie hatumiii. Nyie nyie nyie
 
Sunola ya Tandale hiyo. Kimbia
Tena kiwandani wanauza 49,500 upo nyonyo
Tatizo humu ushamba umewajaa mwajifanya mwajua kila kitu
Hyo sunola ya 75 ya wapi?
Sundrop auzweje? Sundrop tu 70 elfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…