buguruni ni kuanzia 250,000.ila kuna mzee aliniuzia 235,000.geji 28 zinakaa 12 na geji 30 zinakaa 16.ila bei ni moja.hyo ni kwa bei ya jumla.ukitaka bei ya kiwandan kabisa inabid ufike kiwandani kwao.lazma uchukue bati nyingi sana ndo wakuuzie vinginevyo watakwambia kanunue kwa mawakala