Hahahaha sa shida ya huku mnaongea sana.poa bwana,lakini mara zingine kateni maneno we binafsi kama hujiwezi piga kimya.mi sina shda nayo na nikiamua naiweka hata kwenye tv.sema ni uboya c bora niuze nipate hela ya kufanyia ki2 cha maana! ora! ka vipi huwez chukua usi comment hapa.au sio wakuu. acha anaetaka poa mi sina shida nayo na c o kwamba na shida ya laptop.my phone is enough fo every thng! am satisfied but ths U.P.S CRAP i don need it man! get it!
Mkuu hao unaowajibu hivyo ndiyo wateja wenyewe.. Kua na moyo wa chujio, sometimes ukimya unasaidia.. Halafu kingine, hawa wanajamii hawaongi mkono hizo lugha za kwenye message( vifupisho), hivyo hawakawii kukwambia urudi FB mtandao wa wanafunzi
Kesho dada yako akigoma kukuletea vitu unapiga kelele hakujali!!! kila siku kelele niletee hiki niletee kile!! umeletewa leo unauza!!!? kwanini usimwambie dada yako kwamba huihitaji hiyo akuletee tu pesa au kitu kingine!!!? Upimbi huo. wewe hujui dada yako kapata tabu gani mpka anakuletea zawadi ya mtindo huo ama mmeelewana akuletee uuze???
Kwa taarifa yako hiyo bei uliyoweka madukani napata UPS kama 4 hivi + Risiti + Guarantee Card,
Sio yako ya kuuziana mkononi, guarantee ya mdomo!!!
na pesa ya taksi
kwenda na kurudi Bunju, pamoja na hela ya lanchi, bado na chenji ikabaki.. Jamaa ametaja dau kubwa sana kwa ups yenye uwezo alioainisha hapa..!
- Jamani jaribuni na kuweni waungwana kidogo,nimejaribu kusoma tena na tena sikuona alipoandika katumiwa na dada yake,in any case nafikiri cha mtu humfaa mtu,kuletewa kitu kunakataza usikiuze?
- Mimi najua kila mtu ana hai ya kuuza kwa bei yake regardless dukani kinauzwaje,ndio maana sometimes watu wanauza kitu kwa bei ya chini ambayo hata US/UK or else where hakiuzwi kwa bei hiyo,muacheni auze la maana ni kumwelimisha kuwa utapata ushindani kwa sababu mjini bei yake ni....Kitope ataogopa hata kuwa mwanajamii au ku post kitu hapa,week end njema!