Mkuu nijuavyo mimi, D4 ni Engine kubwa ikiwa na CC2000(1998) na kimsingi ni Engine Kimeo kwelikweli na kwa RAV4 ina Brand 1Z na ile ambayo ni nzuri ni kweli hiyo ya 1zz, ina cc1800 hivi. Unapoagiza RAV kill time, kwenye mtandao ili usiingie mkenge lazima uweke Command ya CC. Usiweke CC1500-2000,bali weka CC1500-1800, hapo magari yote yatakayojitokeza ya RAV4 hayatakuwa yale ya D4 Engine!