kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 374 Jan 12, 2016 #1 Naomba kuuliza bei ya viwanja ipoje KIWASTANI maeneo ya Goba na Salasala ambapo si mbali na barabara kuu na kuna miundombinu muhimu mf umeme. Ukubwa wa kiwanja kwenye 30m Kwa 40m au juu/chini kidogo. Msaada pls wanaojua bei.
Naomba kuuliza bei ya viwanja ipoje KIWASTANI maeneo ya Goba na Salasala ambapo si mbali na barabara kuu na kuna miundombinu muhimu mf umeme. Ukubwa wa kiwanja kwenye 30m Kwa 40m au juu/chini kidogo. Msaada pls wanaojua bei.