Bei ya tv inch 32 Mbeya.

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
4,292
Reaction score
7,210
Wapi naweza pata tv inch 32 nikiwa mbeya kwa bei nafuu..msaada tafadhali
 
Reactions: Dyf
Mimi nauza TV dar star x inch 32" mpya 390,000/ ,naweza kukupelekea mpaka kwenye kituo cha basi ubungo..gharama ya kuisafirisha mbeya juu yako.
0715677739
 
Nenda dukan acha kuuliza mtandaoni
 
Wapi naweza pata kwa mbeya naamaana nielekezwe maduka ya tv mbeya..
Hivi kweli ukifika pale Kabwe ukaangaza angaza utashindwa kuona pa kuelekea? Au unatafuta dealer wa kukuletea sebuleni kabisa?
 
Hivi kweli ukifika pale Kabwe ukaangaza angaza utashindwa kuona pa kuelekea? Au unatafuta dealer wa kukuletea sebuleni kabisa?
Kabwe sijawahi ona na napita kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…