Mambo vp mkuu, hiyo simu naijua. Iko vizuri sana. Feature ambayo inabamba zaidi ni uwezo wa camera zake. Camera ya mbele na nyuma zote ni MP13. Ni quality ya Ukweli utazani sio tecno. Instant beauty haihitaji usubiri ili upige picha itoke vizuri. Kwa sasa na recommend hii ndio simu bora kuliko yoyote ile. Bei ni 400 hadi 425.