Karibu. Bei zao siyo mbaya ila nadhani inategemea na simu. Mimi walinitengenezea Lumia 820 kwa laki moja na sitini hiyo XL sijajua itagharimu kiasi gani lakini but you can trust them maana ndo wakala na kama Simu yako bado iko ndani ya warranty bei ni nafuu pia