Wakuu heshima kwenu,
Kwa mtu ambaye anafahamu au anaifanya biashara ya nguo za mitumba iwe kwa kuagiza nje au ndani ya Tanzania naomba anisaidie. Bei ya nguo za mitumba grade A kwa Tanzania tsh ngapi? Utaratibu wa ku import second hand clothes ukoje? Kama yupo namuomba pm tafadhali.