Hahaha mnataka meli mpya, vivuko, na madaraja halafu mnachungulia bills kiasi hicho?!
Vizuri gharama, changieni maendeleo hivyo ndivyo serikali yenu inakusanya pesa.
Hizo ndio pesa za ndani ambazo serikali huwa inaongezea pale ambapo mikopo inashindwa kutosha kwenye miradi yenu.