Mzee umeshindwa kuelewa hii ni term ya mikopo yenu mnayopata kutoka IMF?Boss badala matusi ask for facts idiot, IMF has more say in your country than you may think, jisomee madeni lazima tuwalipe
IMF pushes for fuel tax rise in $2b loan deal
The multilateral financier reckons that Kenya should impose a 16 percent VAT on fuels from the current eight percent when crude oil prices fall.www.theeastafrican.co.ke
IMF hawana uhusiano wowote na Mafuta ila unapochukua mikopo kwao lazima ukubali kuchukua ushauri wao wa namna ya kurejesha mikopo yao kutoka kwenye vyanzo vyako vya kodi, hapo ni IMF inaishauri Kunyaland namna ya kurejesha mikopo yao kwa haraka kupitia ushuru wa mafuta.Duuu. Kwa kweli tumekwisha. Hata mimi sikulijua kabisa kwamba IMF wapo kwenye mafuta
Watakati huo huo mnaongoza kufa njaa na kuishi kwenye slumsCost of living Kenya ipo juu kushinda Tanzania. Hata income per capita ipo juu Kenya kushinda Tanzania. Sasa vipi bei ya mafuta zitatoshana hapa Kenya na huko Tanzania? Mnagongwa sana. Poleni.
Idea ya kuongeza ushuru airtime freshly ulitolewa na mbunge zungu na sio IMF wala foreign policy yoyote kama ninyiYou think its a coincidence mmeongezewa ushuru kwa airtime same as kenya , wacha kushabikia upuzi, your worse off than us
Mtapaki tu hizo subaru πHakika mafuta Tz yamepanda sana...
π tuna ma Tank ya puma ndani...Mtapaki tu hizo subaru π
Usisahau watu wa Athlete na Mark X, hapa ndio nasikilia wivu watu wa VitzMtapaki tu hizo subaru π
Niliilewa vizuri sana boss, my point is IMF has alot of say in developing nations, especially kama ukona mkopo kwao, i believe this is one of the Beberu Tz is always referring to and hates, yet it takes loans from themMzee umeshindwa kuelewa hii ni term ya mikopo yenu mnayopata kutoka IMF?
Hii ni term between Kenya and IMF not IMF and Nations
The IMFβs push for the fuel tax was revealed in an advisory to the government after the fundβs board approved a new loan for Kenya valued at $2.34 billion.
Hahahaha hizo gari tajwa zitakuwa makazi ya popo soon!πππUsisahau watu wa Athlete na Mark X, hapa ndio nasikilia wivu watu wa Vitz
Naona pia nyinyi ni wajingaUnafikiria kila nchi imelemewa na madeni kama Kenya, unafikiria kila nchi inaenda kukopa ili kulipa madeni ya zamani, huo ujinga upo kwenu tu, vumilia na furahia ujinga wenu.
Ushuru kwa airtime ulishushwa aftr complainingsYou think its a coincidence mmeongezewa ushuru kwa airtime same as kenya , wacha kushabikia upuzi, your worse off than us