BILGERT JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 6,532 Reaction score 11,028 Sep 16, 2015 #1 Wadau nisaidieni bei ya ununuzi wa gari aina land rover used,kwa anayejua anisaidie plz..mm binasi nmekadiria 10ml
Wadau nisaidieni bei ya ununuzi wa gari aina land rover used,kwa anayejua anisaidie plz..mm binasi nmekadiria 10ml
juniour12 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 407 Reaction score 378 Sep 17, 2015 #2 Kuna Land Rover o One Ten ya mwaka 87 ilikuwa inauzwa 12mil....sijui kama bado ipo. Samahani lakini mleta mada,Ningependa kujua kwanini hizi gari pamoja nakuwa old model lakin bei zake zinakuwa juu??...Huwa mnaenda kufanyia kazi gani??..
Kuna Land Rover o One Ten ya mwaka 87 ilikuwa inauzwa 12mil....sijui kama bado ipo. Samahani lakini mleta mada,Ningependa kujua kwanini hizi gari pamoja nakuwa old model lakin bei zake zinakuwa juu??...Huwa mnaenda kufanyia kazi gani??..
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,262 Reaction score 1,360 Sep 17, 2015 #3 iko discovery blue number A. milioni 7 nitafute
juniour12 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 407 Reaction score 378 Sep 17, 2015 #4 Naomba picha mkuu Mob