BEI YA CHUMBA POSTA

Kabla serikali awamu ya tano kuingia madarakani bei ya chumba maeneo ya posta mpwa ilikuwa shsh 100000 ( laki moja kwa mwezi) lakini sasa bei hizo zimepungua na kufikia shs 30000 hadi 50000 kwa mwezi
 
Ni rahisi kama ukiwa na minimum amount ya tsh. 250,000 kwa mwezi kwa miezi 6 na additional amount ya tsh. 250,000 kuweza kumpa dalali
 
Kabla serikali awamu ya tano kuingia madarakani bei ya chumba maeneo ya posta mpwa ilikuwa shsh 100000 ( laki moja kwa mwezi) lakini sasa bei hizo zimepungua na kufikia shs 30000 hadi 50000 kwa mwezi
vyumba vya maeneo mazuri mkuu au ndo kawaida??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…