B Bungukwetu Member Joined Jan 24, 2017 Posts 34 Reaction score 14 Apr 25, 2018 #1 Wadau naomba kujuzwa bei ya cement nikiinunua direct kutoka kiwandani. Au kama kuna mfanyabiashara wa cement naomba aje PM tuongee biashara nahitaji large quantity of cement kila week. Nashukuru kwa msaada wenu.
Wadau naomba kujuzwa bei ya cement nikiinunua direct kutoka kiwandani. Au kama kuna mfanyabiashara wa cement naomba aje PM tuongee biashara nahitaji large quantity of cement kila week. Nashukuru kwa msaada wenu.
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,098 Reaction score 437 Apr 26, 2018 #2 If Twiga Cement then nenda maeneo ya Namanga - Tegeta na ulizia agent wa Twiga Cement na utampata na atakujibu hoja zako zote
If Twiga Cement then nenda maeneo ya Namanga - Tegeta na ulizia agent wa Twiga Cement na utampata na atakujibu hoja zako zote