Bei ya asali nyuki wa kubwa?

Bei ya asali nyuki wa kubwa?

Willy sony

Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
22
Reaction score
3
Naulizia bei ya asali ya nyuki wa kubwa jumla na rejareja..msaada kwa yeyote anayejua..
 
Mpigie simu jamaa mmoja anaitwa Mathew yupo pale Millenium Towers second floor ana kampuni ya kuuza asali. Namba yake ni +255717433379 anaweza kukusadia ukapata bei ya asali. Okey?
 
Ninayo bwana Willy Sony, nyuki wakubwa rejareja lita elfu kumi, jumla lita ishirin laki na thelathin napatikana
Maliasili na utalii makao makuu, 0715274070
 
ni wapi naweza uza asali kwa bei ya jumla huku arusha or kilimanjaro? mwenye anafahamu anifahamishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom