Awadh Mbwana
Member
- Oct 24, 2014
- 52
- 40
umewaza vema.itasaidia mtu kuangalia channel unazozitaka kwa mda huoWaambie waanzishe prepaid service za mpira, say unachukua vocha ya 5,000 kwa ajili ya kuangalia ss3 kwa masaa 24. Hiyo technology wakimudu itaongeza kipato
wajiongeze na ni ubunifu mdogo tu, tusisubiri kuiga sometimes tuwe innovative ili wengine watuige isisumewaza vema.itasaidia mtu kuangalia channel unazozitaka kwa mda huo
Sent using Jamii Forums mobile app