Hawajaielewa kama mimi. Hyo bei waliyoweka wakaandika kwa mita mraba. Ina maana kwa kila m^2bei ndo hiyo?Nashangaa watu hawajaja humu, hii thread muhimu kwa kila mtu..
Umefanya jambo jema sana ku_post hii kitu mkuuJamani hii attachment inaonyesha bei elekezi za viwanja sehemu mbali mbali za Tanzania. Kwa hiyo wale waliozoea kuuza viwanja kwa bei wanazozijua wao, nadhani huu utakuwa muarobaini wao.
Naona ni mwanzo mzuri kama angalau serikali inaweka bei elekezi. Maana bei ya Ardhi ilikuwa imefika pabaya sana especially DSM. Naamini hii itasaidia pia kupanga kodi sahihi za majengo (property tax).
NB: Kama hii habari ilikuwa imeshawekwa humu, naomba Mod muunganishe uzi huu na uzi husika. Nimeweka tuu for information watu wajue.
Ingepostiwa jukwaa la MMU uzi ungetembea.... Sasa kitu cha muhimu hivi ila hakuna aliyetembelea humuNashangaa watu hawajaja humu, hii thread muhimu kwa kila mtu..
Hawajaielewa kama mimi. Hyo bei waliyoweka wakaandika kwa mita mraba. Ina maana kwa kila m^2bei ndo hiyo? Mfano mbagala wameandika 30,000 mpka 50,000 ina maana kwa sqm 1 au?
Nieleweshe tafadhali[/QUOTE
Ndio ndugu, bei zote uzionazo ni kwa square meter moja, kama kiwanja chako ni 900m2 basi wazidisha kwa 900, au kama ni 500m2 wazidisha wa bei iliyowekwa, nafikiri umeipata hiyo..
hahaha Mkuu mimi nilipata mahali nikaona niiweke hapa na wenzangu wana-JF waione. Mimi siyo mtaalamu wa haya mambo. Ingawa Kiukweli TZ tulikuwa tumefika pabaya sana. Mtu anakwambia bei ya kiwanja..gharama ambayo hata ungefanya nini huwezi kuimudu.We Masanja umesepa tena
Hawajaielewa kama mimi. Hyo bei waliyoweka wakaandika kwa mita mraba. Ina maana kwa kila m^2bei ndo hiyo?
Mfano mbagala wameandika 30,000 mpka 50,000 ina maana kwa sqm 1 au?
Nieleweshe tafadhali