Knock! Knock! Knock...!! The devil want to come in...
Muvi kubwa inayopendwa na wengi duniani Avengers Endgame is coming..
Officially inategemewa kutolewa tarehe 26/4/2019 United State.
Jina: Avanger Endgame
Imeongozwa na: Russo Brothers (Anthony na Joe Russo)
Imeandaliwa na : Kevin Feige
Imetungwa na: Stan lee
WARNING: https://www.jamiiforums.com/threads...kolojia-juu-ya-ujio-wa-mpinga-kristo.1529441/
View attachment 1079969
cc Wick Malcom Lumumba
kiukweli hata mimi sijajua ila nadhani tuombe uhai tu tuone itakuwaje.. hebu jiulize Spiderman alikufa kwenye avanger infinity war ila mwaka huu mwezi wa saba kuna cameo yake inayoitwa spidernan:far from home, sijui story yake itakuawaje... pia kuna uwezekano 2020 au 2021 tukaletewa mwendelezo wa Doctor strange, Iron man,Guardian of the galaxy and the likes... Tumsubirie bwana Kevin feige atatuletea nini...So, mwendelezo wa movie za avenger ndio utaishia hapa?
Oohh nilipata ujumbe wake niiko salama kabisa.... hope you good tooMalcom Lumumba alikuwa anakutafuta Da'Vinci
So, mwendelezo wa movie za avenger ndio utaishia hapa?
MCU Phase One imeishia kwenye hii End Game zinazoanza kuja ni Phase Two tutegemee kuanza ona new characters!..kiukweli hata mimi sijajua ila nadhani tuombe uhai tu tuone itakuwaje.. Tumsubirie bwana Kevin feige atatuletea nini...
DAaaah kwakweli Stan lee ni mtu mmoja wa ajabu sana asee, yaani haya mastori sijui alikua anayatoa wapi.. I realy want my Doctor Stephen Strange to remain..MCU Phase One imeishia kwenye hii End Game zinazoanza kuja ni Phase Two tutegemee kuanza ona new characters!..
Imagine masaa matatu unaangalia End Game na waliokwisha ingalia wamesema miaka 10 haikuwa ya hasara hii A4 ni nomaa!!..
Dah pande zipi mkuuutakuwa nimlevi wa pombe bila shaka, in case ukihitaji haya mavitu nitafute nikugeie
View attachment 1080099View attachment 1080100
Unadhani basi hizi story zinazoletwa kwenye film za Stan Lee ni watu wanazibend tu kufit movie.DAaaah kwakweli Stan lee ni mtu mmoja wa ajabu sana asee, yaani haya mastori sijui alikua anayatoa wapi.. I realy want my Doctor Stephen Strange to remain..
utakuwa nimlevi wa pombe bila shaka, in case ukihitaji haya mavitu nitafute nikugeie
View attachment 1080099View attachment 1080100