salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Zinapakana na Kaole Secondary na zipo mita 200 toka baharini; zina ukubwa wa sqm. 825 na bei ni Tshs 7.5 milion kila moja (unapima mwenyewe). tuwasiliane kwa PM au email: plotkinyerezi @yahoo.com.