Gest house nyingi tuuu !
Usiwe na shaka!
Mie si ndio mwenyeji wako jamani?
Au unataka kunikimbia!?
Hii bei karibu na bure usinikimbie mteja ukauziwa vya marambili!
Nakuuzia na nakuunganisha na mpimaji!
Nina njaa tu ,lakini hizi asset za watoto!
Mimi nimekuelewa sana!
Kulikuwa na shughuli nyingi za kilimo pembezoni kwa bwawa lakini ndege hawakuondoka!
Kwa sasa kilimo hakuna tena MITA 100 kutoka bwawani!