Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Amtafute mwanasheria kwa msaada zaidi.Ndugu zangu heshima kwenu nyote.
Mwaka 2017 ndugu yangu alichukua mkopo Bayport huko Moro na ulikuwa ni mkataba wa miaa 3 ulitakiwa uuishe 2019.
Ndugu yangu anasema yeye alikatwa mshahara kurejesha deni hadi January 2019,akawa anapokea mshahara wake wote bila makato.
Wiki chache zilizopita Bayport wameanza kumsumbua kwa kumwambia anaidawa jumla (mkpo na riba) ya milioni 10 na anatakiwa azilipe mapema endapo akichelewa kulipa pindi atakapopata mafao yake ya kustaafu watachukua pesa zaidi ya hiyo milioni 10.
Ndugu yangu anastaafu Septemba 2022 kazi yake ni mwalimu wa msingi.
Mimi nikajiuliza kwanini mkopo ulisitishwa bila kumalizika? Na kwanini hao Bayport baada ya kuona mkopo wao haujakalika/kuisha kwanini wasimtafute mdaiwa wao,wamemuacha zaidi ya miaka 3 hadi mtu kabakiza miezi kadhaa kustaafu ndio wanaanza kudai deli lao tena kwa kiwango kikubwa sana cha milioni 10??
Mwenye kujua namna yeyote ya kupambana na hawa watu tafadhali anisaidie nami nifikishe kwa ndugu yangu ambaye amechanganyikiwa kwa suala hili.
Asanteni.
Ndugu zangu heshima kwenu nyote.

Waajiriwa wengi wa serikali wanaishi kwa mikopo bila hivyo wengi wao hata kununua tofali wasingeweza.Kwenye hizo microfinance mnafataga nini watumishi??
Matatizo mengine mnajitakia kabisa
Nakubaliana nawe ila nao Bayport kwanini walisitisha makato na hawakumtafuta mdaiwa wao ambaye mkataba unasema pesa yote ilitakiwa ilipwe ndani ya miaka 3?Haya mambo ni pande mbili. Ndugu Yako alivyoona Bayport wamekaa kimya kumkata ilhali hajamaliza deni kwann alikaa kimya, yaani kalipa miaka miwili na nusu Bado kidogo akaonaje labda wamesahau au?
Hao jamaa by nature ni magaidi Sasa unavyokaa kimya unawapa point sana.
Shida watanzania wengi hatuko genuine, ndugu Yako alitaka kiwaibia Bayport Sasa wamemtaimu wanamkamua yeye awe mpole tu
Tujifunze uaminifu watanzania
.......kupitia ubia na makaburu wa Afrika ya Kusini.Bayport ya mama Anna Mkapa
Deni halitaisha mapema iwapo uta renew mkopo wao baada ya kukushawishi kila wanapohisi umepigika! Maana wana access za kuona salary slip yako mtandaoni.Wale labda watakua , Loan shark,, deni lao haliishagi mpaka mdaiwa afe
Waajiriwa wengi wa serikali wanaishi kwa mikopo bila hivyo wengi wao hata kununua tofali wasingeweza.
Nakubaliana nawe ila nao Bayport kwanini walisitisha makato na hawakumtafuta mdaiwa wao ambaye mkataba unasema pesa yote ilitakiwa ilipwe ndani ya miaka 3?
Tanzania Kuna watu wa aina fulani:Kwenye hizo microfinance mnafataga nini watumishi??
Matatizo mengine mnajitakia kabisa
Kama wao Bayport hawakuhusika kusitisha makato ilikuwaje wanyamaze kimya kwa takribani miaka 3,mwaka huu ndio waanze kudai?Sidhani kama Bayport walisitisha makato, Nahisi aliyesitisha hayo makato ni either hr au mteja kwa kushirikiana na hr. Bank au Microfinance itasitisha makato ili iweje? Labda ungesema wameongeza makato.
Tunapenda [emoji383]Ndugu zangu heshima kwenu nyote.
Mwaka 2017 ndugu yangu alichukua mkopo Bayport huko Moro na ulikuwa ni mkataba wa miaka 3 ulitakiwa uishe 2019.
Ndugu yangu anasema yeye alikatwa mshahara kurejesha deni hadi January 2019,akawa anapokea mshahara wake wote bila makato.
Wiki chache zilizopita Bayport wameanza kumsumbua kwa kumwambia anaidawa jumla (mkopo na riba) ya milioni 10 na anatakiwa azilipe mapema endapo akichelewa kulipa pindi atakapopata mafao yake ya kustaafu watachukua pesa zaidi ya hiyo milioni 10.
Ndugu yangu anastaafu Septemba 2022 kazi yake ni mwalimu wa msingi.
Mimi nikajiuliza kwanini mkopo ulisitishwa bila kumalizika? Na kwanini hao Bayport baada ya kuona mkopo wao haujakalika/kuisha kwanini wasimtafute mdaiwa wao,wamemuacha zaidi ya miaka 3 hadi mtu kabakiza miezi kadhaa kustaafu ndio wanaanza kudai deli lao tena kwa kiwango kikubwa sana cha milioni 10??
Mwenye kujua namna yeyote ya kupambana na hawa watu tafadhali anisaidie nami nifikishe kwa ndugu yangu ambaye amechanganyikiwa kwa suala hili.
Asanteni.
Wakati unakopa hukutuuliza maswali.Kama wao Bayport hawakuhusika kusitisha makato ilikuwaje wanyamaze kimya kwa takribani miaka 3,mwaka huu ndio waanze kudai?