Semi final za UEFA - Nani ataibuka mshindi hapa.
Mimi ninabaki na R. Madrid ingawaje hawa ni maadui wa jadi, lolote linaweza kutokea.
Na pia tusisahau kuwa Real haina hisoria kubwa ya kuwashinda Bayern katika ardhi yao.