BAVICHA taifa kuna tatizo?

BAVICHA Wahuni tu, awamu hii tulipotea sana kuchagua viongozi wa namna ile. Wapo kwa ajili ya ku enjoy mjini badala ya kufanya vitu walivyotakiwa kufanya. Suala la Ben sio la kukaa kimya.
SHAME.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…