BAVICHA kutikisa Musoma mjini kesho

“Nimekuwa nikisikia maneno maneno mengi kutoka kwa viongozi wangu wa zamani lakini nawaheshimu na sitoweza kuwajibu kwani siasa za chuki kwa sasa zimepitwa na wakati, ninachofanya ni kukijenga chama,”alisema Zitto.
 
Mlandege kesho update zote pamoja na picha zitakuwepo hewani pamoja sana.

TUMECHOKA HATUWATAKI MJINI NENDENI VIJIJINI MTACHUKUA NCHI, NI MARUFUKU kusikia mikutano yenu ya mjini na mkizidi tutaacha kuhudhuria watu wa vijijini wanawalilia mkatoe ELIMU huko wako tayari sana ila hamuwafikii, narudia tena mjii mnarudirudia tu hakuna kura za kutosha kura za kutosha zipo vijijini,NENDENI VIJIJINI
 

makamanda kila la heri
 
Utaona october, mimi niko mbinga kijiji hadi kijiji, nyumba kwa nyumba. CDM noma yeyota akisimama ni nondo.
 
waoneeni huruma wenzenu mnawafanyia vibaya sana
 
“Nimekuwa nikisikia maneno maneno mengi kutoka kwa viongozi wangu wa zamani lakini nawaheshimu na sitoweza kuwajibu kwani siasa za chuki kwa sasa zimepitwa na wakati, ninachofanya ni kukijenga chama,”alisema Zitto.

Hahahahah Hakuna mtu mnafiki km huyo jamaa. Ooooh Mimi sitaki pesa ya walalahoi. Ooooooh kuna wabunge 50 watahamia kutoka Upinzani na CCM, Na hawa ndio wanatuchangia Act , Yeye ni Mzalendo kwann asiwataje?. Yeye amekataa hizo pesa na anajenga Uzalendo Je hao wabunge ambao watahamia wenyewe sio wazalendo?. Au Uzalendo unaanzia ukingia Act?
. Na kwann awakaribishe watu ambao watakomba pesa za walalahoi siku ya Mwisho ambazo yeye hazitaki?. Kwann saiz anakubali kupokea pesa za watu ambao sio wazalendo?.
 

Kaka mbona swala dogo hili sio la kutumia msuli kuelewa kwa nini hajawataja lakini kwako inaonekana halieleweki,anyway this is Typical Bavicha,
Ishu ni kuwa akiwataja sasa kwa taratibu za vyama vyao eg Chadema itawaita wasaliti na kuwafukuza chamani kama walivyofanya kwa ZZK,hii itapelekea kupoteza ubunge as a results its unfair kwa wananchi waliowachagua,ndio mana hawatatajwa ili waendelee kuwa wabunge ili wasipoteze uwakilishi wa wananchi. simple brother.
 
Swali kwa Heche: mikoba yote hajamwachia dogo aliyemfuata? Mbona naona anapwaya sana? Au ni macho yangu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…