Bavicha kigamboni wajiimarisha

GGUY

New Member
Joined
May 11, 2013
Posts
3
Reaction score
2
Kata ya kigamboni baraza la vijana BAVICHA wanawatangazia vijana wote waishio kigamboni na maeneo ya jirani kuhudhuria mkutano wa ndani tarehe 3.11.2013 ..tunawakaribisha vijana wote kujadili changamoto mbalimbali

wenu katika nguvu ya umma
mnkondya hamis,kasim
mratibu BAVICHA(kata ya kigamboni)
 
Kigamboni ni nyumbani kwa Yericko Nyerere a.k.a Jason Bourne

Kuweni makini msisikilize hadithi zake za uongo...
 
Kigamboni ni nyumbani kwa Yericko Nyerere a.k.a Jason Bourne

Kuweni makini msisikilize hadithi zake za uongo...
Tangu uikimbie kazi ya ukunga/ungariba pale mvomero umekuwa kama muuza baa,

Karibu kwenye mkutano tarehe 3/11/2013
 
zemarcopolo bwana! cjui yukoje vile? nataman sana kumwona alivyo ili nifananishe mwonekano wa nje na uwezo wa akili yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…