Makamanda wa mkutano mkuu wa Bavicha mjue kuwa baraza lenu ndio askari wa kufagia njia.Hivyo mjue kibarua mlionayo,m/kiti mpya lazima awe na uwezo usio na mashaka
.Awe Tayari kuwaimbisha vijana tuko tayari.....tuko tayari.....,awe mwenye kujua adui yetu namba moja ni CCM,awe mwenye kujua udenda watutoka ilikuingia ikulu,awe anajua kuwa haki za chama zitalindwa kwa gharama yoyote,awe amezoea siasa gumu, ambaye ana uwezo zaisi ya Heche, maana Heche amefanya kazi safi sana,anayeaminika,mwenye akili na jeuri sb anajua.
Makamanda kesho tu tutakuwa na operesheni kali na inavyoonekana tutapigania haki yetu maana ccm tumewaona kwenye bunge la katiba wanaweza kugoma kutoa serikali hata kama wameshindwa.
Siri kubwa sio maneno ni matendo na kumbu kumbu ndio mtumie kuamua.Nime wachunguzawagombea wote NANYARO ANA SIFA HIZO.
Mkimchagua jembe Rorya tutawaalike mje kunywa nyuka anang'a (uji wa samli).
Mie nimetumia MATENDO NA KUMBU KUMBU NILIZO NAZO KUAMUA. NA NYIE TUMIENI MATENDO NA KUMBU KUMBU KUFANYA UAMUZI.:flame:
Kumbe adui namba moja wa Bavicha ni CCM!!! I thought ni umaskini, ni unemployment that amount to 12%, nlidhani ni elimu kuwa duni pamoja na kero zingine za wananchi.
kwa statement hiyo napata mashaka na utata mkubwa juu ya vision, philolosophy na mission yenu. maana itafocus kupambana na CCM na si kukwamua watanzania.
ukombozi wa kifikra unahitajika haraka sana

haa haaa...nilimsikia Mh Makamba enzi hizo "vidole viwili maana yake ni chama cha watu wawili Mtei na Ndesamburo
Mkuu wala usishangae. Ndio akili zao zimegotea hapo. Wamekaririshwa hivyo.Kumbe adui namba moja wa Bavicha ni CCM!!! I thought ni umaskini, ni unemployment that amount to 12%, nlidhani ni elimu kuwa duni pamoja na kero zingine za wananchi.
kwa statement hiyo napata mashaka na utata mkubwa juu ya vision, philolosophy na mission yenu. maana itafocus kupambana na CCM na si kukwamua watanzania.
ukombozi wa kifikra unahitajika haraka sana
Mkuu wala usishangae. Ndio akili zao zimegotea hapo. Wamekaririshwa hivyo.
BAVICHA NI KITENGO CHA VIJANA NDANI YA CHADEMA MPO NYIE WAJINGA MNAONIPINGA!LENGO KUU YA CHAMA CHA SIASA NI KUSHIKA DOLA AU KULINDA UTAWALA/DOLA WAKE.BAVICHA HAINA SERIKALI,HAIKUSANYI KODI NA HAINA MAMLAKA YA KIDOLA NA KIUTENDAJI KULINDA ELIMU,KUTOA ELIMU,SIJUI AFYA etc...SO MISSION NA VISION YA BAVICHA NI KUSAIDIA CHADEMA KUINGIA IKULU.HIVYO MAKAMANDA LENGO KUU NI HILO NA MSIYUMBISHWE NA VIJINGA
Kumbe adui namba
moja wa Bavicha ni CCM!!! I thought ni umaskini, ni unemployment that
amount to 12%, nlidhani ni elimu kuwa duni pamoja na kero zingine za
wananchi.
kwa statement hiyo napata mashaka na utata mkubwa juu ya vision,
philolosophy na mission yenu. maana itafocus kupambana na CCM na si
kukwamua watanzania.
ukombozi wa kifikra unahitajika haraka sana
Hao ndio vijana sasa, magwanda kutwa kucha hii ndio thinking mkuu!!!!
Wakiambiwa siasa za vyama hazina masilahi tena na zimechoka achilia mbali kuongeza uhasama wao ni ngumi juu au vidole ishara!!!
Ukiwauliza nini common enemy hakuna ajuaye masikini wao kuburuzwa tu!!!
Kazi kwa Taifa hili bado saaanaaa