nenda kisutu stendi ya mabasi ya zamani kuna samsumg shop, kuna gorofa jipya zamani kulikuwa na ofisi za world link ila uwe na mpunga wa maana wanauza original betri tu niliulizia ya s3 wanauza elfu 70