BATCO NA FRESTER mumeshindikana

BATCO NA FRESTER mumeshindikana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,967
Reaction score
42,206
Aman kwenu wakuu

Kuna hizi kampun mbili kutoka huku kandaziwa batco na ftester hawa jamaa wameshindikana aisee

Huyu batco ana bus kama Mbuz yaan ni utitiri aisee, ukisimama pale nyakato utakuwa unaona bus zake zinapita kila baada ya dakika kumi Huyu jamaa kampoteza kabisa Zakaria

Zakaria kwa sasa kafuria kabisa hana bus dah yaan had huruma toka jamaa wamfunge kafulia

Kuna Huyu frester jamaa ana bus kama mchanga kwanza Mimi nilikuwaga najua hata ni mchina au mhindi kumbe ni msukuma tu Wa huko geita duh kama ni ndagu hawa ndo Masonic sasa

Ila hongeren japo mnatisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao frester nawakubali sana huwa natuma mizigo kwenda bukoba but hana magari mengi km unavotuaminisha
 
mdogo wangu soma upate akili za kuazimwa na mwalimu.

Maana naona zakuzaliwa ama kwa makusudi au bahati mbaya ulinyimwa.
 
Anaweza akawa na buses 20 tu ukaziona nyiiingi,
Abood peke yake ukitoka mbezi mpaka unafika ubungo utakutana na gari si chini ya 4, mbili zinaingia mjini mbili zinatoka, na pale ni kama 10+km, sikuambii umbali ya moro dar
 
Frester makondakta wanaiba mizigo haswa kondakta anayeitwa MANGI ukibahatika mzigo wako kwenda na bus alilopo siku hiyo, jua umeumia.Watu wengi wameshalalamika juu ya huyu Mangi
 
Me
Anaweza akawa na buses 20 tu ukaziona nyiiingi,
Abood peke yake ukitoka mbezi mpaka unafika ubungo utakutana na gari si chini ya 4, mbili zinaingia mjini mbili zinatoka, na pale ni kama 10+km, sikuambii umbali ya moro dar
Abood
New Force
Hao ma bus yao hayahesabiki
 
Aman kwenu wakuu

Kuna hizi kampun mbili kutoka huku kandaziwa batco na ftester hawa jamaa wameshindikana aisee

Huyu batco ana bus kama Mbuz yaan ni utitiri aisee, ukisimama pale nyakato utakuwa unaona bus zake zinapita kila baada ya dakika kumi Huyu jamaa kampoteza kabisa Zakaria

Zakaria kwa sasa kafuria kabisa hana bus dah yaan had huruma toka jamaa wamfunge kafulia

Kuna Huyu frester jamaa ana bus kama mchanga kwanza Mimi nilikuwaga najua hata ni mchina au mhindi kumbe ni msukuma tu Wa huko geita duh kama ni ndagu hawa ndo Masonic sasa

Ila hongeren japo mnatisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wakanda ya ziwa mna vituko sana... mtu akiwa na ma bus hayafiki hata 50.. mnamuona tajiri wa kutupwa.. mkija dar mnashangaa sana yaelekea..

kina gsm wana malori zaidi ya 300 hakuna anaewafatalia... tajiri wa ukweli hafanyi biashara ya transport.. hata akinunua magari ni kwa ajili ya kufacilitate movement ya products zake au huduma zake....

bakhressa ana malori kibao ila ni kwa ajiri ya kusafirisha bidhaa zake.. gsm hivyo hivyo, lake oil etc etc

hivi unajua hata asas tu ana magari mangapi? au hanspope, au davis mosha, au kugis, au prime fuels....

mambo ya magari ni biashara za watu wenye pesa kiasi.. sio za matajiri wa level za juu
 
Kaka usibishe, kwa sasa hakuna anaetawala njia ya kahama-mwanz. Kila muda gari zake zinaingia na kutoka.
Na kuna za kahama-musoma.
Bukoba-dar
Kahama-dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Sjabisha ila nilizani mna compare na route tofauti mfano dar-songea, dar-mbeya, dar-arusha, yaani kuna kuna route kampuni zina magari mengi sana hao frester zidisha Mara tatu
 
Aman kwenu wakuu

Kuna hizi kampun mbili kutoka huku kandaziwa batco na ftester hawa jamaa wameshindikana aisee

Huyu batco ana bus kama Mbuz yaan ni utitiri aisee, ukisimama pale nyakato utakuwa unaona bus zake zinapita kila baada ya dakika kumi Huyu jamaa kampoteza kabisa Zakaria

Zakaria kwa sasa kafuria kabisa hana bus dah yaan had huruma toka jamaa wamfunge kafulia

Kuna Huyu frester jamaa ana bus kama mchanga kwanza Mimi nilikuwaga najua hata ni mchina au mhindi kumbe ni msukuma tu Wa huko geita duh kama ni ndagu hawa ndo Masonic sasa

Ila hongeren japo mnatisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mchaga na sio msukuma
 
Back
Top Bottom