Bata mzinga kwa wajasiriamali nawashauri kufuga bata mzinga na bata bukini kwa wingi kwani wanamnufaisha sana mjasiriamali ikiwa ni nyama mayai ulinzi wa nyumbani na pia nipambo zuri sana

Masoko yako vere challenging, kuna watu wamehodhi biashara wanajipangia tu bei na ukikomaa unarudi nao home. Kwa ulinzi hebu fafanua maana germa shepherd wamechemsha huku kwangu Kitopeni kila siku nyavu zinachanwa.
Bata mzinga kwa wajasiriamali nawashauri kufuga bata mzinga na bata bukini kwa wingi kwani wanamnufaisha sana mjasiriamali ikiwa ni nyama mayai ulinzi wa nyumbani na pia nipambo zuri sana
Hizi mada za kitoto tumeshazikemea lakini bado zinakuja tu. Hivi JF imeingiliwa na mapepo gani? Au tumelogwa? Sasa wewe kwa akili yako unaona hii ni mada kweli? Narudia tena, msitupotezee muda bure kwani tuna mambo mengi ya kufanya. Kama huna cha kuandika, tulia kimya. Nyamaza kabisa. Au jifute uanachama humu ndani. Ebo!