zyogo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 377 Reaction score 282 Mar 27, 2019 #1 Hivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo?
Hivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo?
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,411 Reaction score 23,257 Mar 27, 2019 #2 Andika mada yako upya hujaeleweka kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Heron JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 1,946 Reaction score 1,806 Mar 27, 2019 #3 mshipa said: Andika mada yako upya hujaeleweka kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Rudi shule
mshipa said: Andika mada yako upya hujaeleweka kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Rudi shule
NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,139 Mar 27, 2019 #4 ndio kishafanywa sasa na huna la kuifanya Israel zaid ya kuiandikia thread humu jf Sent using Jamii Forums mobile app
ndio kishafanywa sasa na huna la kuifanya Israel zaid ya kuiandikia thread humu jf Sent using Jamii Forums mobile app
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,124 Mar 28, 2019 #5 zyogo said: Hivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo? Click to expand... Usishindane na mwenye hela, hujawahi kuona mkubwa anachapwa bakora, mfano ndugai alimchapa bakora ccm mwenzake nusu ya kumuua
zyogo said: Hivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo? Click to expand... Usishindane na mwenye hela, hujawahi kuona mkubwa anachapwa bakora, mfano ndugai alimchapa bakora ccm mwenzake nusu ya kumuua
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,708 Reaction score 35,719 Mar 28, 2019 #6 zyogo said: Hivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo? Click to expand... Ili tuchangie njoo na taarifa kamili usiwe mvivu wa kuandika Israel na Golan height sio la kujadiliwa ni sawa na Israel na Jerusalem Sent using Jamii Forums mobile app
zyogo said: Hivi kinachofanywa na Israeli Golan ndo kusema kwamba kilichofanywa Crimea na Russia ni ukatili hata kuwekewa vikwazo? Click to expand... Ili tuchangie njoo na taarifa kamili usiwe mvivu wa kuandika Israel na Golan height sio la kujadiliwa ni sawa na Israel na Jerusalem Sent using Jamii Forums mobile app