Thread yajieleza hapo juu wana JF, hivyo kwa mwenye ufahamuna kozi hii tujuzane
Inahusiana na idara ipi kwa wanahabari?
Vipi ajira zake ? zinapatikana kirahisi katika industry ya habari?
Hasa kwa waliosoma SAUT, naombeni msaada wenu na experience yenu utaftaji ajira;
Nawasilisha kwenu mada, ASANTENI