Basi la green star lapata ajali

mahololelo

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
32
Reaction score
5
Basi la Green Star ilyokuwa inatoka mwanza kuelekea Dar imepata ajali maeneo ya shelui kijiji kimoja kabla hujafika shelui centre, hakuna mtu aliyekufa,imegonga na kuua ngombe saba
 
Poleni sana kwa ajali hiyo. Tunashukuru Mungu hakuna aliyekufa.
 
Duh! Hilo ni pigo kwa mwenye ng'ombe anapigo! Na ng'ombe walivyokuwa na bei!
 
Tumshukuru Mungu kwa kuwanusuru binadamu, kama ng'ombe wamekufa mwenye ng'ombe anaweza kulipwa na bima akanunua wengine na kusahau hao, lakini maisha ya binadamu hayanunuliwi.
 
Thanks God hakuna liyekufa, poleni sana
 
Basi la Green Star ilyokuwa inatoka mwanza kuelekea Dar imepata ajali maeneo ya shelui kijiji kimoja kabla hujafika shelui centre, hakuna mtu aliyekufa,imegonga na kuua ngombe saba

Mungu awalinde mfike salama! Dreva alkua makin.
 
Poleni majeruhi mungu awajaalieni kupona haraka. Pia mfike safari salama
 
Kwanini tusijiulize hizi ajali zinazojitokeza kwa wingi kuelekea mwisho wa mwaka zinakuwa nyingi?
 
Mungu ni mwingi wa huruma,pole kwa wote walio kwenye safari hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…