Basi la Dar Express lateketea kwa moto

Duh ni hatar hapa elimu kwa madereva inahtajika pia abiria wakiwa ktk magar kuwepo na vipeperush vya elimu ndogo wakiwa ktk gari pakitokea ajar ya namna hyo ni hatua gani wazchukue kuweza kuzma moto
 
Kila siku Dar express zinaungua mbona hatusikii kilimanjaro bus?
 
Kila siku Dar express zinaungua mbona hatusikii kilimanjaro bus?a
 
daka mtumba;
weye kweli ni jinias, kumbe umegundua mkopo ule wa ruzuku yetu alikoipeleka?? Duh! Magari yote hayo, na leo kaunguza moja ili akapate jipa tena model ya kisasa?
Endelea kuidaka mitumba tu mpaka ukiamka kumekuchwa tena.
pamoja mkuu!!!
 

Kipindi hiki cha mvua inawezekana chanzo ni short ya umeme sababu ya maji,
 

Tuanakushukuru sana mkuu kwa taarifa
 
Aisee, mauza uza bado yanaendelea. Usanii wa sticker za fire hausaidii, wanatulipisha Tshs 30,000 na bado hazifanyi kazi.

Mkuu hizo zinaenda kutunisha fuko kuu la serikali( tra)
 
Uzuri wa gari hizo zote zinabima kubwa.
Sasa hapo mwenye gari miguu juu anasubiri alipwe kitu kipya.
Tatizo mali za abiria ndio watu huwa zinakula kwao
Inayakiwa kila abiria wakati kabla ya kuanza safari akakate bima ya safari ni kwa sh 5000/- kwa tripu
 
ilo la zamani sana acha liungue tu maadam watu wamepona ila uyu mzee haji kufulia ng'oo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…