Kuna jambo linanitatiza nikaona hapa naweza pata ufafanuzi. BASATA, hasa shughuli zake ni zipi? Maana nimezoea kuona wakiwafungia tu kazi za wasanii tu.
Msaada wao ni nini kwa wasanii wa Tanzania ??
1.Bongo fleva
2.Muziki wa Dansi (Bendi zinakufa)
3.Taarabu haieleweki (ujumbe shombe tupu)
4.Singeli chali
5.Ngoma za asili kina wanne star kimya